Walimu changa la macho tena

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Mnakumbuka changa la macho la november sasa lingine hilo linakuja vuuuu!
 
Sijakusoma, hebu elezea usikurupuke kutoa thread ambayo hajitosherezi
 
waziri alitangaza wiki hii watatangaziwa vituo ila leo ni j5 na wapo kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Poleni sana Walimu.Msishangae baadaye Naibu Waziri au katibu mkuu wake anaibuka na kukataa kwamba Wizara haijawahi kutangaza.
 
HII NDIO TZ BWANA SISHANGAI LEO HIVI KESHO VILE WALIMU KUWENI NA SUBIRA MUNGU ATAWASAIDIA. AJIRA mmmm......
 
Leo usiku wanaanika hadharani, kesho asubuhi wanaoenda Nanjilinji watakuwa washaona majina yao. In a few momment.
 
Leo usiku wanaanika hadharani, kesho asubuhi wanaoenda Nanjilinji watakuwa washaona majina yao. In a few momment.

Sawa wa jikoni isije kuwa changa la macho lingine. Tunasibiri mchakato huo.
 
Nahisi hakuna nchi ambayo viongozi wake wa siasa wanashika nambari1 kwa uongo kama Tanzania
 
Hongera ccm kwa kustisha huduma zote ofsin il 2malize kilio kwanza! Hv hamuon km 2po busy msibani? Kheee! Kuanzia J3, tutawapa taarifa mpya lin 2tatoa tena! Don gv up, kip on waitng......
 
Tuwe na subira maticha,lakini si tumefiwa jamani. Tupo tunaombeleza na leo ndio tumezika.
 
Jamani nafasi zitatangazwa punde mbona mnakuwa waoga
 
Kwenye mwenye laptop atuwekee matokea jamani wameweka usiku huu tembelea Moevt yapo hewani tatizo simu tunazotumia wengine
 
Aisee KUMBE kweli mvumilivu hula mbivu!! yametoka leo www.moe.go.tz
Yea, ni kweli, jumla ya ajira 23,150. Lakini, wameshatenga fedha za kutosha kwa ajili ya walimu wapya? wasije kuwapeleka watoto wa watu maeneo wasiko na ndugu karibu halafu wakalazimika kuanza kufuatilia malipo yao huku wakikopa
 
hivi inakuwaje kwa mwalimu aliyeomba akiwa na Degree na akapigwa chini?kuna vigezo gani vya watu kupangiwa zaidi ya kuwa na cheti kizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…