Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Walimu wengi vijana ndani ya jimbo la uchaguzi la mbunge Msukuma wameapa kufa naye kwenye uchaguzi mkuu ujao na kamwe watamwonyesha wao ni wasomi ndiyo maana wanasimamia uchaguzi umhusuyo.
"....yeye si bingwa wa kututukana sisi wenye degree na kututweza kwamba hatuna lolote basi asubiri usio na lolote wetu 2025 Oktoba."
"....yaani sisi tunasimamia uchakajuaji wake na vitisho juu tunavumilia zaidi ya siku nne kwa malipo ya sawa na posho yake ya siku halafu akifika huko mjengoni kutwa anatutukana wasomi huku anatudharau wewe mwache."
".... hivi bro unaanzaje kumtweza mtu aliye kusaidia kufika hapo ulipo? Hivi yule jamaa ana akili kweli!!!?"
"....yaani naapa labda nisisimamie ila vinginevyo nitamkomesha yule (tuci)!"
Wasimamizi watarajiwa.