Ndio mpaka umalzane na vmeo thn next yr ndo utaajiriwa....by the way hapa sup haihusk hyo itakua ni carry coz mda ajira znatoka mitihan ya sup ishapta na kama ulshndwa kuchomoa umecarry.
Jamani eti ni kweli na wale non graduants wenye mataizo ya carry au supplementary nao huwa wamo katika ajira za serikali?
Please share your experience.
huwa wanaajiri ukiwa na matokeo ya semister tano na unavoenda kuripot sio lazima uende na cheti ila unatakiwa ukipate hicho cheti ndani ya miaka mitatu zaidi ya hapo huna kazi halafu ni lazima uende chuo kuna barua wanatoa kwa wenye matatizo kama hayo.
Chuo nlchomaliza wanafunzi wote wamepata ajira! Mpaka wale wenye 'carry' na waliokuwa wamefukuzwa chuo mwaka wa pili majina yao yametokelezea, mh! Nimeshangaa kweli!