walimu halmashauri ya temeke hatujapata mshahara mpaka leo hii ni bora tufunge hizo shule

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
wakuu leo ni tarehe tatu mwezi wa kumi mshahara wa mwezi wa tisa hatujapata hivi serikali wanadhani sisi tunaishi vipi? nauli za kwenda huko shule tunatoa wapi? haya ni mateso makubwa sana
 
Mkifunga ndo mtapata???kuwa na subira,kinondon wamepata jana
 
subira wakati leo ni tarehe tatu? huko shule tunaenda na nn sasa?
 
Kwani watumishi wengine wa halmashauri ya temeke wamepata??mpaka DED mwenyewe mshahara bado hajapata,sio walimu tu bana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…