Walimu jf nisaidieni mwenzenu!

EPORA

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
83
Reaction score
16
Poleni kwa shughuli,nahitaji msaada wa vyuo vya ualimu wa diploma,vyuo vya serikali,na wanaanza kuapply mwezi wangapi?plz nahitaji hata naejua gharama zake,nisaidieni tafadhali,Mungu awabariki
 
uwe unapitia web site ya wizara huwa wanatoa matangazo,kwa kawaida application hutumwa wizarani
 
mara tu baada ya matokeo ya form six na una aply kwa katibu mkuu.Kwa sasa gharama ya ada ni laki mbili kwa mwaka na kunakua na michango mingine midogomidogo inayoweza kufika laki hadi laki na nusu.
 
Ambatanisha vivuli vya vyeti O & A Level.
 
Uwe unatembelea website ya wizara ya elimu ambayo ni www.moe.go.tz, huwa wanaweka matangazo. Mwaka jana niliapply mwez wa 4. Wataweka tangazo kuwa mtume maombi wizarani huku ukiambatanisha na vivuli vya vyeti vya form 4 na 6. Wanaweza kuruhusu kuapply hata kabla ya matokeo ya form 6 kutoka, tembea tovuti yao mara kwa mara.
 

Nashukuru wadau, najua vyuo viwili tu kwa sasa,mnaweza kunipa list ya vyuo?plz msaada
 
Marangu TC, Monduli TC, Korogwe TC, Morogoro TC, Mpwapwa TC, Butimba TC, TaboraTC, Bunda TC, Kleruu TC, Tukuyu TC, Kasulu TC, na kadhalika.
 
Nashukuru wadau, najua vyuo viwili tu kwa sasa,mnaweza kunipa list ya vyuo?plz msaada

Nadhani umepata list, ila inategemea kama unataka science au arts. Monduli na Korogwe nina uhakika wanatoa dipl za science. Marangu najua wanatoa arts, hvyo vingne cjui. Kwan wewe unataka kwenda kusoma masomo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…