Nsumbanzunya
Senior Member
- Jun 13, 2014
- 177
- 42
Kama unasubiri kuajiriwa sekta ya ualimu jiandae kwa mambo haya;-
1.kupata pesa ya kujikimu pindi unapolipoti kituoni(wilayani)
2.Kupangwa mazingira ya vijijini sana ambayo hata usafiri na huduma nyingine za msingi ni za kususua
3.Watoto wa kike kutongozwa na maafisa kwa ahadi ya kupangwa mjini
4.kule vijijini mnakopangwa,kuchukiwa na vijana wa umri wenu
5.Kuchukiwa na wanasiasa wa vijijini wakiwadhania mnaleta upinzani kwa kuwahamasisha wanakijiji waichukie CCM
Na mengineyo