Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,877
- 5,022
Habari wapendawa,
leo tumepewa taarifa rasmi kuwa mwenge utafika katka wilaya yet ya buhigwe kigoma july 2015.hvyo basi kila mwl. anatakiwa kutoa tsh10,000 kwa ajili ya mchango wa mwenge,
hlo ni agizo kutoka kwa mkuu wa wilaya,ambalo amewapa walimu wakuu,kuwafkshia walimu wengne
vile vile wakat huo huo wafanykz wote wa umma na binafsi wanatakiwa kutoa kias cha tsh20,000 kuchangia kujenga hosptal ya mkoa wa kigoma.
je hiv ni haki kuchangshwa michango yote hyo ili hali tunalipa kodi kila kukicha?