Walimu kugoma nchi nzima

Walimu kugoma nchi nzima

Joined
Feb 8, 2012
Posts
92
Reaction score
9
Baada ya serikali kushindwa kufikia muafaka na Chama cha walimu,walimu kugoma nchi nzima mpaka serikali itekeleze mapendekezo ya chama cha walimu.Baadhi ya mapendekezo hayo ni nyongeza ya mshahara na posho ya kufundishia.Hata hivyo serikali imesema mgomo huo ni batili kwani suala hili liko mahakamani.
 
Back
Top Bottom