Jaman mi nipo msoma mjini mke wangu yupo butiama ni mwl shule ya msing shule inaitwa muriaza uhamisho wanadai mpaka atimize miaka mitatu huu ni wa pil toka aanze kaz kwa aliye msoma mjn kwa namna moja ama nyingine anataka aende butiama naomba tuwasiliane kwa 0686180003 au at magittajunior@gmail.com
Habari wa pendwa katk bwana! Asalaam Aleykum!
Kwa wale walimu wa secondary O-level au A- level naomba kupata mtu wa kubadilishana vituo Aje MSOMA MJINI.
Awe wa kutoka Morogoro mjini, kibaha, Pwani! Au Bagamoyo!
Tuwasiliane: 0757347907
Mimi mwl wa sekondari nipo songea natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka dodoma mjin au chamwino.aje huku mimi niende huko.reason mama yangu hajiwezi anahitaji msaada wangu kwa karibu.0719490040