Mwl MSEMWA Idara msingi yupo SHINYANGA(v) anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha MORO,IRINGA,NJOMBE AU MBEYA.
0764290566
0752169629
0762661894
mimi ni mwalimu wa sekondari naitwa mwl mbata ninafanya kazi katika shule ya sekondari inyonga iliopo wilaya ya mlele mkoa wa katavi, ninatafuta mwalimu wa kubadilishana nae awe ni mwl anayetaka kuhama mikoa ifuatayo mbeya,na iringa.namba yangu ya simu 0765361068