Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Si kasema mwalimu shule ya Msingi? Au Kiswahili kigumu?Ebu weka wazi.una level gani,masomo unayofundisha.
Musoma sehemu gani mkuu,mi kwetu kukirango kamgegi ila nafunndisha huku mkuranga
Ni mwl wa sekondari. niko kijiji cha SEMENI km 15 toka TUNDURU mjini kwenda LUKUMBULE.