tunduru hapana mkuu
tunduru hapana mkuu
Mimi mwalimu wa sekondari niko wilayani tunduru- ruvuma natafuta mwalimu wa sekondari wa kubalishana nae kituo cha kazi. awe anatoka mbinga, songea, njombe morogoro au mbeya. kwa mawasiliano zaidi tumia 0682136570.
Mhh! mimi nipo Morogoro
Morogoro Municipal Je?Ndugu msomaji, mimi nimepangiwa wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani. Naomba mwalimu anayependa tubadilishane mimi niende kibaha - Pwani au Dar Esap Salaam ani PM
Asante
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums