Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiria tu mana hakuna uhakika na mwalimu hana haki mbele ya serikali ya tanganyika sababu Nyerere mwenyewe alikimbia akaacha laanaKila siku zimekuwa zikijitokeza msg znazotumwa kwa walimu juu ya kaz na mishahara yao lakini huwa si kweli.
Kwa sasa zinatumwa msg zikionyesha kuwa kuna waraka utakaoanza kutumika 01/07/2013 juu ya kubadilshwa madaraja ya walimu, je! kuna ukweli?
Kila siku zimekuwa zikijitokeza msg znazotumwa kwa walimu juu ya kaz na mishahara yao lakini huwa si kweli.
Kwa sasa zinatumwa msg zikionyesha kuwa kuna waraka utakaoanza kutumika 01/07/2013 juu ya kubadilshwa madaraja ya walimu, je! kuna ukweli?