Walimu mmmmmmmmmmmmpo?

Walimu mmmmmmmmmmmmpo?

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189
Katibu wenu CWT kasema Bank ipo mbioni kufunguliwa,mtauziwa hisa,mtapewa mikopo ya bei nafuu,mtajengewa nyumba,yan mtapata raha hainahaja ya kudai ongezeko la mshahara
anaongea kinouma hata haeleweki,
 
Uko naye hapo? Walimu walishaambiwa mambo matamu kuliko hayo.Lakini,hakuna lolote.Wameachwa gizani ili waendelee kuwa watiifu kwa chama tawala
 
we unamuamini mjinga?kwani hlo swala wameanza kuliongelea leo.hata wahubiri wanatwambia yesu yu karibu kurudi.achana na ----- huyo.
 
Hizo ni hadithi za sungura mjanja kwani Bwana MKOBA ashabeba chake kwenye mkoba na kaamsha, maticha mkaze buti usawa huu.
 
we unamuamini mjinga?kwani hlo swala wameanza kuliongelea leo.hata wahubiri wanatwambia yesu yu karibu kurudi.achana na ----- huyo.
hu ni ukurasa mmmmmapyaaaaaaaa,maticha mbere kwa mbele,kusaga chaki mwisho,2tatumia marker pen 2,kudadadeki msione dole na bado serikali inaongeza mkwanja,,uuuwiiiiiiiiiiii otatateneoooooooo
 
hu ni ukurasa mmmmmapyaaaaaaaa,maticha mbere kwa mbele,kusaga chaki mwisho,2tatumia marker pen 2,kudadadeki msione dole na bado serikali inaongeza mkwanja,,uuuwiiiiiiiiiiii otatateneoooooooo

kenya bajeti mpya wanagawa laptop kwa kila mwanafunzi toka primary hadi chuo. bongo 2mekalia siasa tu utendaji hakuna.
 
kenya bajeti mpya wanagawa laptop kwa kila mwanafunzi toka primary hadi chuo. bongo 2mekalia siasa tu utendaji hakuna.

kama vipi hamia KENYA basi,umefanyanini kuhakikisha elimu haiingiliwi na siasa,au walalamika 2
 
kama itakuwa kwel itapendeza sana
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371309611673.jpg
    uploadfromtaptalk1371309611673.jpg
    18.6 KB · Views: 155
Waalimu hawa wa Tanzania ama? Sidhani kama wana deserve, wote ni Failure.
 
Waalimu hawa wa Tanzania ama? Sidhani kama wana deserve, wote ni Failure.

lete uthibitisho wa kitakwimu kuonesha kuwa walimu wote ni failures, vinginevyo utakuwa unamatatizo ya kiakili.
 
Waalimu hawa wa Tanzania ama? Sidhani kama wana deserve, wote ni Failure.

mkubwa Unawakosea heshima,
c wote ni failure,
hata makandarasi,mahakimu,waandishi wa habari wapo failure
 
katibu wenu cwt kasema bank ipo mbioni kufunguliwa,mtauziwa hisa,mtapewa mikopo ya bei nafuu,mtajengewa nyumba,yan mtapata raha hainahaja ya kudai ongezeko la mshahara
anaongea kinouma hata haeleweki,

hatudanganyiki
 
quote_icon.png
By kimetahkatibu wenu cwt kasema bank ipo mbioni kufunguliwa,mtauziwa hisa,mtapewa mikopo ya bei nafuu,mtajengewa nyumba,yan mtapata raha hainahaja ya kudai ongezeko la mshahara

anaongea kinouma hata haeleweki,

quote_icon.png
By Mzee
Waalimu hawa wa Tanzania ama? Sidhani kama wana deserve, wote ni Failure.

hatudanganyiki

eti we mwalimu ni failure?
 
Back
Top Bottom