Walimu mnaosubiri mshahara huku mkijua ukiingia utaishia kulipa madeni tukutane hapa ili tufarijiane.

Walimu mnaosubiri mshahara huku mkijua ukiingia utaishia kulipa madeni tukutane hapa ili tufarijiane.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Bado masaa kidogo Hazina watajaza mzigo.

Lakini balaa ni kuwa mzigo wote utaishia kwenye madeni. Kwa kweli walimu tuna wakati mgumu sana.
1000032510.jpg
 
Acheni kulialia ishini kulingana na mapato yenu mshahara kamwe haujawahi kutosha
 
Walimu kwa mlivyo na roho mbaya mpauke mpka mwisho wa dahari.
 
Back
Top Bottom