Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ukipelekwa mahakamani?Bora nigombane na mtu lkn sio mshahara wote kulipa madeni
Sasa na wauza mihogo tunakutana wapi?Bado masaa kidogo Hazina watajaza mzigo.
Lakini balaa ni kuwa mzigo wote utaishia kwenye madeni. Kwa kweli walimu tuna wakati mgumu sana.View attachment 3077211
Duh kumbe na walimu Wana roho mbaya? Nilidhani ni wanajeshi na polisi pekeeWalimu kwa mlivyo na roho mbaya mpauke mpka mwisho wa dahari.
πππBado masaa kidogo Hazina watajaza mzigo.
Lakini balaa ni kuwa mzigo wote utaishia kwenye madeni. Kwa kweli walimu tuna wakati mgumu sana.View attachment 3077211
Hutafungwa, hiyo ni kesi ya madai.Ukipelekwa mahakamani?
Walimu wakuda sana mkuu.Duh kumbe na walimu Wana roho mbaya? Nilidhani ni wanajeshi na polisi pekee