Mwalimu alicha kazi takribani miaka minne na alikatiwa mshahara punde tu alipoacha. Akaomba ajira moevt akapangiwa upya na akaripoti kituo kipya na kupata pesa ya kujikimu. Ikatokea kwenye suala la mshahara ikaonekana kwamba bado yupo kwenye pay roll hakufutwa. Na anataka kuendelea na kazi kituo kipya. Walimu utaratibu ukoje msaada tafadhali