walimu msaada tafadhali

rubwe

Senior Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
109
Reaction score
25
Mwalimu alicha kazi takribani miaka minne na alikatiwa mshahara punde tu alipoacha. Akaomba ajira moevt akapangiwa upya na akaripoti kituo kipya na kupata pesa ya kujikimu. Ikatokea kwenye suala la mshahara ikaonekana kwamba bado yupo kwenye pay roll hakufutwa. Na anataka kuendelea na kazi kituo kipya. Walimu utaratibu ukoje msaada tafadhali
 

mm sio mwl ila ni afisa utumishi wa halmashauri,unachotakiwa kufanya ni kumconsult DED wako wa halmashauri uliyokua unafanyia kazi pamoja DEO wako ili uweze kukusaidia ktk uhamishaji wa data zako za ajira ili uje nazo hapo halmashauri mpya ulipopangiwa!

Kimsingi,serikalini sasa hiv kuna mfumo mpya wa payroll ambapo mtu mmoja hawez ingia zaidi ya mara moja kwenye payroll!!ukishaingia basi hutoki mpaka kustaafu,ukiahama au vinginevyo unahama na cheque namba yako!!

Nawasilisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…