TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Yani watumishi wa Umma hasa hawa walimu wanaopewa nafasi za kusimamia uchaguzi na kuipa ccm ushindi inabidi mambo yaende hivi hivi mpaka tuongee lugha mojaWalimu ndio wanaojazana kwenye sherehe za Mei mosi na fulana zao za CWT, sijuagi wanafuataga nini maana hakuna la maana wanalopambaniaga kwa masilahi yao, haya mwakani mvae tena fulana zenu mkapigwe na jua pasipo faida.
š¤£š¤£walilazimishwa na wakuu waoWalimu ndio wanaojazana kwenye sherehe za Mei mosi na fulana zao za CWT, sijuagi wanafuataga nini maana hakuna la maana wanalopambaniaga kwa masilahi yao, haya mwakani mvae tena fulana zenu mkapigwe na jua pasipo faida.