A agwambo halisi Member Joined Jan 22, 2014 Posts 42 Reaction score 2 Mar 1, 2014 #1 Ajira mpya, kwa sasa majina yapo hazina , kila mtu anapangiwa pesa yake ili kuondoa usumbufu wa kufika kituoni afu hakuna pesa hivyo ondoeni hofu,
Ajira mpya, kwa sasa majina yapo hazina , kila mtu anapangiwa pesa yake ili kuondoa usumbufu wa kufika kituoni afu hakuna pesa hivyo ondoeni hofu,
J Jampa Member Joined Feb 9, 2014 Posts 14 Reaction score 1 Mar 1, 2014 #2 Kwan majina yanatoka lini?
M mwalimu wenu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 203 Reaction score 19 Mar 1, 2014 #3 Kwel,wangetoa kwanza hayo majina hata kama yapo hazina.
U USILALE Member Joined Dec 17, 2013 Posts 18 Reaction score 0 Mar 1, 2014 #4 Mmeanza! Mbona mnaendelea kumtwisha zigo la kazi Mungu kwa uongo wenu? Eti "majina yako hazina!!?"
A asa sambai Member Joined Feb 22, 2014 Posts 52 Reaction score 2 Mar 1, 2014 #5 Jamani tumbo moto yatoke twende tukajenge taifa
C chopp JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 220 Reaction score 41 Mar 1, 2014 #7 nilikuwa nataka fanya mchakato ili nipangiwe place nayotaka nikaambia ni ngumu coz majina yashasambazwa halimashauri na wana verify Mkwanja kwa each teacher
nilikuwa nataka fanya mchakato ili nipangiwe place nayotaka nikaambia ni ngumu coz majina yashasambazwa halimashauri na wana verify Mkwanja kwa each teacher
jrAn Member Joined Feb 24, 2014 Posts 30 Reaction score 3 Mar 1, 2014 #8 Kwa hyo ajira mwez huu sio wa NNE?
K kabambasaki Member Joined Feb 5, 2014 Posts 7 Reaction score 1 Mar 1, 2014 #9 wadau jamii forum!nipokeen bado ni mgen kwenye ulimwengu wa jamii forum
K kabambasaki Member Joined Feb 5, 2014 Posts 7 Reaction score 1 Mar 1, 2014 #10 ki ukweli serikali imechoka walim,ahadi zishakuwa nyingi mno!
M mwanamabox New Member Joined Sep 27, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Mar 1, 2014 #11 Wametuchanganya sana!
U ulircky mtang'ase Member Joined Mar 1, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Mar 1, 2014 #13 Lakin majina yataonekana tarehe 14 mach kuripot tarehe 1 april
patrickcharles JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 534 Reaction score 285 Mar 1, 2014 #14 agwambo halisi said: Ajira mpya, kwa sasa majina yapo hazina , kila mtu anapangiwa pesa yake ili kuondoa usumbufu wa kufika kituoni afu hakuna pesa hivyo ondoeni hofu, Click to expand... Unatabiri Mvua kipindi cha masika.
agwambo halisi said: Ajira mpya, kwa sasa majina yapo hazina , kila mtu anapangiwa pesa yake ili kuondoa usumbufu wa kufika kituoni afu hakuna pesa hivyo ondoeni hofu, Click to expand... Unatabiri Mvua kipindi cha masika.