C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 Dec 13, 2014 #1 Walimu nawauliza hasa Mkoba and company, mbwembwe zenu za kuandamana kupinga mabadiliko hovyo ya mafao ya kustaafu yalifia wapi? Kweli Ualimu na Walimu- anyway angalau mlijitutumua!
Walimu nawauliza hasa Mkoba and company, mbwembwe zenu za kuandamana kupinga mabadiliko hovyo ya mafao ya kustaafu yalifia wapi? Kweli Ualimu na Walimu- anyway angalau mlijitutumua!