Walimu na Majina ya Utani(AKA)

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Nafikiri kati ya watu wanaongoza kwa kupewa majina ya Utani Ni Walimu na majina hayo hupewa na Wanafunzi wao

Majina Hayo yanaweza kuwa ya watu maarufu/Topic/Ukali wake/Upole wake/Maisha yake kwa ujumla...nk

Kuanzia Levo za chini kabisa za elimu mpaka za juu utapata walimu wanapewa majina hayo.

Nakumbuka Nlikopita kulikua na Majina kama Shallow Boy/Mansa kankan Musa/Mzee wa Qunta/Hardcore...nk

Shallow boy walimpa kutoka na tabia yake ya kusoma Notes

Mansa kankan Musa alikua mwl wa history mambo ya Empire/States

Mzee wa Qunta mwalimu wa chemistry

Hardcore alikua na umri mkubwa ila alikua hajaoa

Sio mbaya na Wewe ukitupa majina Ya Utani Maarufu ulikopita..
 
Mwalimu mkuu wa shule niliyosoma Alikuwa anaitwa KIFRIZA kutokana na kitambi chake
 
Mwl mbusi(mbuzi),huyu alipewa hilo jina Nsoo Sec kutokana na kiatu chake kuwa kimechanika mbele hivyo akipita kwe nyasi kinakula nyasi.
Sitasahau siku moja alikuwa zamu tukiwa assemble tunaimba wimbo wa taifa,ile umeisha tu,masela wa form four kule nyuma wakatia "meeeeee"Alialika staff yote,full kichapo
 
[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahah
 
Aisee we mshkj umesoma nsoo Ghana kule sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…