Walimu ndio kada ya watumishi wanaokula kwa halali

Walimu ndio kada ya watumishi wanaokula kwa halali

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Majority ya walimu kazi yao haina madili,no connections no gape ya upigaji pesa ni wao chaki, Na mshahara wao kiduchu. Maisha ya kuridhika na kidogo chao ndo furaha yao hawakat tamaa wanapiga kazi.

Wengi wao wapo vijijini ndani ndani huko na pikipiki zao asubuhi na jioni wanabebana kwenda na kurudi kutoka shule.

Mungu anawabariki watoto wao wanakuja kua mainjinia,madaktari, wataalaam wa mionzi n.k

watumishi kama askari,mawakili,hakimu, matrafik wazee wa tanroad,tpa,tra
 
Back
Top Bottom