Walimu ni very Endureable, kwa hili

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
TUKIO linaloendelea sasa nchini na katika halmashauri ya wilaya kinondoni ni matokeo na fundisho kwa wanajamii kwamba walimu ni viumbe tofauti na wana namna pekee wanapohendo mambo yao, fujo ya madai ya posho zao ingetofautiana sana, na hawa wananchi wanaodai posho za sensa.

Hali kadhalika, umeona mgomo wao ulivyositishwa na kurejea shuleni? ni fundisho kwa umma.

Na je? unaona jinsi wanavyojiandaa kuendesha mgomo baridi? these people are very tolerant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…