Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,408
- 2,266
vilaza kweli hao. wanasubiri nani awajengee sasaMoshi Walimu saba wa Shule ya Msingi Mikocheni iliyopo kata ya Arusha chini Wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro wanaishi katika nyumba moja yenye vyumba vitatu.
Walimu hao ambao wanawake ni wanne na wanaume watatu wameeleza hayo leo Jumatano Januari 20, 2021.
Nini maana ya serikali! Acha uzwazwa. Jpm kafeli miserably ajiuzulu tuKwahiyo kip kifanyik I'll hay ya kusikitisha ety mkuu sio mpk Kila kitu serikal ifanye mengine lazima sisi kama.. jamii tumaliz
Ili umunalii auNaomba unifanyie mpango wa kuniunganisha na huyo mwalimu wa kike anayebaki hana mtu humo ndani maana KE wako 4 ME wako 3
Hawana mishahara ndugu ni njaa tu na serikali imewaterekeza Bora jk arudiSasa kama watu wanalipwa mishahara na wameamua kukaa nyumba moja watu 7 sasa inakuuma nin?
Ulishawah kutembelea kota za polisi hapa himo jinsi raia wanavyojazana kwa zile nyumba
Nataka nimshauri kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ili umunalii au
Sema.ya kujenga.sio kuropoka mkuuNini maana ya serikali! Acha uzwazwa. Jpm kafeli miserably ajiuzulu tu