Walimu saba wanaishi nyumba moja ya vyumba vitatu

Wastani watu wawili wawili sioni shida.

Desperate times calls for desperate measures.
 
Najua Wana tombana sana humo ndani ili kujifariji na Mitano tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo show inapigwa afu wanazuga kuwa et ni kero .m.c wahame ... kilimanjaro ni Moja mikoa ambayo gharama za kupanga ni very cheap .. chumba Hadi 20k unapata. ...na maswala ya udalali hayajachanganya kiivo
 
Acheni matusi humu. Nyie vipi?
 
Wameamua wenyewe.Maana ujinga wa mtu huanzia ndani mwake.

Napenda kuwa huru na kuishi sehemu ambayo Haina msongamano na watu...

Sasa hao walimu kwa Nini wapo tofauti... Wameshindwa hata kupanga waache kuishi kigeto geto.. Au ndio hao walimu wa ajira mpya
 
School Name : Mikocheni

Ward Name : Arusha

District Name : Moshi.

Hawa jamaa wanaishi Mikoa mitatu ndani ya mkoa mmoja, Awesome.
 
Wanawake wanne na wanaume watatu.

Hiyo sasa itakuwa zero grazing.
 
Kuna msela anatamani kuwa moja ya walimu watatu wa kiume wanaoshi hilo getto[emoji23][emoji23]
 
Ni sawa pengine wanatumia kama geto tu la kubadilisha nguo na kipiga mademu bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…