Walimu semina za BRN

XOXOQY

Senior Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
193
Reaction score
54
Jamani,nimesikia kuna semina za BRN za walimu wa sekondari zinaendelea kuna walimu wamechaguliwa kuhudhuria semia hizo,mfano moja ya semina inafanyika mkoa wa Tabora,naomba kujuzwa hili.
 
kwa masomo ya brn tu yaan English,kiswahili,biology na maths. kila shule ipeleke mwl mmoja kwa kila somo
 
kwa masomo ya brn tu yaan English,kiswahili,biology na maths. kila shule ipeleke mwl mmoja kwa kila somo

Hivyo semina hizo zimeanza kwa walimu wa sekondari?
 
Mi nimetajwa kushiriki semina hiyo ila cjaambiwa semina itakuwa ni ya siku ngapi, jumatatu ndo semina inaanza. Mwenye uzoefu atuambie hufanyika kwa siku ngapi na malipo yakoje
 
Semina hizo hufanyika kwa muda wa siku tatu hadi tano kwa kutegemea na unyeti na ugumu wa mada teule.
 
Mbona wilaya zingine zipo kimya? Wala hatujui kama kuna semina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…