Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 275
- 475
Nilisema hapa kuwaachia walimu maamuzi yote ni upumbavu. Walimu hawana akili. Nilisema kuwe na kanuni kuu za nchi kuhusu muda wa masomo... Siku za Jumamosi na Jumapili ziwe ni mapumziko kamili; kusiwe na hata home week yoyote. Tatizo, wapumbavu wa Sisiemu hawanielewi. Pia, muda wa wanafunzi kufika shule uongezwe kwa nusu saa zaidi ili wanafunzi waweze kwenda shule wakiwa wamekunywa chai na kujisafisha vizuri. Unakuta mtoto anakosa hata muda wa kupiga mswaki vizuri kisa kuwai shule.Leo 14/07/2025 wanafunzi wa darasa la tatu wanaosoma shule ya msingi Goba Mpakani iliyoko Dar es Salaam ambao jumamosi ya 12/07/2025 hawakwenda tuisheni wamechapwa fimbo na walimu wao.Mwalimu mkuu wa S/msingi Goba Mpakani tunaomba uliangalie swala hili kwa umakini.kwa nini wanafunzi wanawaambia watoto wa darasa la tatu kwamba wasipoenda jumamosi na shilingi 500 kwa ajili ya kusoma tuisheni watachapwa?
Suala la mwanafunzi wa darasa la tatu kwenda tuisheni j,mosi liwe ni hiari na sio lazima.Mwalimu mkuu na walimu wenzako mjiulize.
1) Vipi kwa mzazi ambaye hana uwezo wa kumpa hiyo sh 500 mtoto wake kwa ajili ya tuisheni?
2) Kwa nini mwanafunzi tena malaika wa darasa la tatu achapwe fimbo kisa tu ameshindwa kwenda tuisheni j,mosi na sh 500?
3) Wanafunzi watapata muda wa kupumzika saa ngapi(siku ipi?)ili hali kuanzia jumatatu hadi ijumaa wanaondoka asubuhi sana na kurudi jioni kabisa wakiwa hoi(ba siku hizi za masomo wanakuwa wameunganisha na tuisheni j,tatu -ijumaa).
N:B Muelewa wazazi hatupingi swala la tuisheni kwa wanafunzi tatizo linakuja suala hili linapokuwa ni LAZIMA na mtoto asipokuja anachapwa hasa ikizungatiwa ni siku ya ,jmosi ya watoto wadogo hawa kupata muda wa kupumzika.
Nilizonazo zinanitosha nipo hapa kuwatetea wanyonge wasioweza kuongea popote...by the way wanangu wapo sekondari sasaMatajiri wa JF wanakuja kukwambia utafute hela!
hapa mchawi ni hiyo 500/=, shule ya jirani hapa kuna kipindi wazazi walitaka kuzua balaa kisa 100/= ya kikombe cha uji.Leo 14/07/2025 wanafunzi wa darasa la tatu wanaosoma shule ya msingi Goba Mpakani iliyoko Dar es Salaam ambao jumamosi ya 12/07/2025 hawakwenda tuisheni wamechapwa fimbo na walimu wao.Mwalimu mkuu wa S/msingi Goba Mpakani tunaomba uliangalie swala hili kwa umakini.
kwa nini wanafunzi wanawaambia watoto wa darasa la tatu kwamba wasipoenda jumamosi na shilingi 500 kwa ajili ya kusoma tuisheni watachapwa?
Suala la mwanafunzi wa darasa la tatu kwenda tuisheni j,mosi liwe ni hiari na sio lazima.Mwalimu mkuu na walimu wenzako mjiulize.
1)Vipi kwa mzazi ambaye hana uwezo wa kumpa hiyo sh 500 mtoto wake kwa ajili ya tuisheni?
2)Kwa nini mwanafunzi tena malaika wa darasa la tatu achapwe fimbo kisa tu ameshindwa kwenda tuisheni j,mosi na sh 500?
3)Wanafunzi watapata muda wa kupumzika saa ngapi(siku ipi?)ili hali kuanzia jumatatu hadi ijumaa wanaondoka asubuhi sana na kurudi jioni kabisa wakiwa hoi(ba siku hizi za masomo wanakuwa wameunganisha na tuisheni j,tatu -ijumaa).
N:B Muelewa wazazi hatupingi swala la tuisheni kwa wanafunzi tatizo linakuja suala hili linapokuwa ni LAZIMA na mtoto asipokuja anachapwa hasa ikizungatiwa ni siku ya ,jmosi ya watoto wadogo hawa kupata muda wa kupumzika.
Soma post kwa umakini na utulivu uelewe hoja vizuri sio kurukia rukia...Wapeni izo 500 kuepusha kelele kelele zote umeombwa 500 tupige kelele za reform bado tupige kelele za wewe kuombwa 500 ya tuition
Sina mtoto anayesoma hapo naongea kwa niaba ya wazazi wengi ambao hawawezi kuwaambia walimuHapa ni mzazi kumfata mwalimu wa mwanao na kumwambia mtoto hawezi kwenda jumamosi umemaliza....
Nimekuelewa mkuu, Hiyo ni kama ushauri kwa wasiopenda. Niliwahi fanya kwa mpwa wangu na walimu walielewa sababu nlizowapaSina mtoto anayesoma hapo naongea kwa niaba ya wazazi wengi ambao hawawezi kuwaambia walimu
Kwenye anga za washindia mihogo na mapera wewe unatafuta nini sasa....? usingekuwa mshindia mapera na mihogo usingekuja huku...ndege wafananao huwa wanakutana kwenye venue mojaWashindia mihogo na mapera wana matatizo sana.
Wewe ukibaki kwenye reform inatosha....hapa pita zako shwaaaaaWapeni izo 500 kuepusha kelele kelele zote umeombwa 500 tupige kelele za reform bado tupige kelele za wewe kuombwa 500 ya tuition
Wewe ukibaki kwenye reform inatosha....hapa pita zako shwaaaaa