Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 275
- 475
- Thread starter
-
- #41
Kwa nini unafikiri lazima ndio uwajibikaji?mfano wangu wa 100/= ya uji umeusoma? -- lazima waende kwa lazima ndo uwajibikaji huo
ndo tunajenga uwajibikaji hapo matokeo ya shule za serikali huwa ya kiwango cha kawaida hivyo basi wanafunzi wanahitajika kuongeza masaa ya msuli --- hii ndo key concept mkuuKwa nini unafikiri lazima ndio uwajibikaji?
Unajua maana ya uwajibikaji au unaandika tu....? Ukiambiwa andika maana ya neno uwajibikaji unahakika utafaulu?
Unafahamu umuhimu wa kiumbe chochote kupata muda wa kupumzika hasa ikizingatiwa hawa ni watoto wa darasa la 3
Unataka wakale wapi? Jero tu mzazi unalia kama umeambiwa uchangie Figo au jicho
Sawasawa..wewe umenielewa vizuri...bila shaka huu ujumbe utamfikia mwalimu mkuu na wenzake wa Goba Mpakani watajirekebisha lengo sio afukuzwe kazi. Wazazi hawataki mwanafunzi wa darasa la tatu alazimishwe kwenda tuisheni siku ya jumamisi ambayo ni siku ya mapumzikoMwalimu Mkuu mshitakini kwa Waziri wa Elimu, atafukuzwa kazi mara moja, sbb Jmosi sio siku ya shule, hakuna analazimishwa kwenda shule Jmosi, hilo halipo, na Mkuu wa Shule ndio wa kuanza nae, atimuliwe, tena Mh. Rais akisikia watoto wadogo wanalazimishwa kulipa tuition na kwenda shule Jmosi huyo Mkuu wa Shule atashtakiwa, tena pelekeni malalamiko haya Wizara ya Elimu haraka sana itakuwa funzo kwa Shule zingine.
Jmosi sio siku ya Shule, labda darasa la 7 au Form 4 wale wana malizia shule wapange ratiba na mwalimu wao wamalizie masomo Jmosi ili wajiandae na Mtohani wa kumaliza shule..!!
Narudia, Jmosi au Jpili sio siku za kwenda shuleni, Wizara na Serikali ya CCM, chini ya Mama yetu, Rais wetu inajua hivyo, anayepanga kinyume na hapo najua atashughulikiwa haraka, hasa
Ila mwanzo ulisema wanao wako sekondariš¤£š¤£š¤£Next meeting bila shaka wasipojirekebisha kwa hii ya tuisheni jumamosi tutaliwasilisha
I hope wewe hujakwenda shule wala watoto wako hawatokwenda shule. Na hutumii chochote kilichotengenezwa ama kuzalishwa na wasomi.Walimu awana akili kabisa 0 .....kama amjui umuhimu wa kupumzika kisaikolojia....mnatumia nguvu nyingi na kuvuna kidogo tatizo akili zenu finyu ....jumamosi na jumapili ni mapumziko muhimu kwa mtoto ...kwani hao wasomi mnaowazalisha kwa kusoma bila ya mapumziko wamefanya kitu gani cha maana Tanzania au duniani kuzidi wengine?
Hiyo agenda ya "wazazi feki" ni uongo na propaganda zenu wazazi. Una hakika gani matakwa yako binafsi yakawa ni matakwa ya wote? Kwahiyo wengine wakienda kinyume na matakwa yako ndio unawaita "feki"!!!Hii kauli ya kwamba wazazi ndio wanapitisha michango ya kipumbavu ndio inayotugharimu,nimeshahudhuria vikao vingi sana vya wazazi shuleni huwezi amini kuna wazazi feki huwa wanapangwa na shule ili wakomalie ajenda hiyo ipite na huwa wana mgao wao na jinsi wazazi wengi wasivyokuwa na uwezo wa kuongea basi unakuta ajenda zinapita kwa lazima hata kama walioafiki ni wazazi wawili kati ya wazazi 200,na mara nyingi vikao vya shuleni huwa hivyo.UKIONA SHULE INA MICHANGO MICHANGO MINGI YA KIPUMBAVU BASI JUA HIZO NI BIASHARA ZA WALIMU KATIKA NAMNA NYINGINE
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Wacha ubishi wewe walimu wa Tanzania ni wapumbavu hakuna kitu ni ushuzi wa bataI hope wewe hujakwenda shule wala watoto wako hawatokwenda shule. Na hutumii chochote kilichotengenezwa ama kuzalishwa na wasomi.
Halafu jukumu la malezi ya mtoto wako kwanza ni lako mzazi. Ikiwa wewe hauna muda wa malezi ya mtoto wako, basi utasaidiwa tu kwa gharama ndogo ama kubwa (tena yaweza kuwa sio ya fedha).
Kukaa kulaumu walimu hakutowasaidia, maana wao wanafuata matakwa yenu wazazi na serikali. Ikiwa hamtaki, na nyie mnaojiita "wenye akili" hamjui cha kufanya, basi ni bomu kuliko hao walimu mnaowalaumu.
Wapumbavu kama wewe ni wakuchapa ngumi tu ..ni hasara kubwa sana kufundishwaxna mtu mpumbavuVikao vyenu vya wazazi huwa mnajadiliana nini? Hakuna michango inayotolewa shuleni bila kupitishwa na wazazi.
Tuition ya nini Kwa mtoto wa Darasa la tatu ,kwani wakati wa muda maalum waalimu licha ya kujiingizi mikopo ya kausha damu, kubet na kuperuzi mitandaoni wanafanya nini?Leo 14/07/2025 wanafunzi wa darasa la tatu wanaosoma shule ya msingi Goba Mpakani iliyoko Dar es Salaam ambao jumamosi ya 12/07/2025 hawakwenda tuisheni wamechapwa fimbo na walimu wao. Mwalimu mkuu wa S/msingi Goba Mpakani tunaomba uliangalie suala hili kwa umakini.
Kwanini wanafunzi wanawaambia watoto wa darasa la tatu kwamba wasipoenda Jumamosi na shilingi 500 kwa ajili ya kusoma tuisheni watachapwa?
Suala la mwanafunzi wa darasa la tatu kwenda tuisheni Jumamosi liwe ni hiari na sio lazima. Mwalimu mkuu na walimu wenzako mjiulize.
1) Vipi kwa mzazi ambaye hana uwezo wa kumpa hiyo sh 500 mtoto wake kwa ajili ya tuisheni?
2) Kwanini mwanafunzi tena malaika wa darasa la tatu achapwe fimbo kisa tu ameshindwa kwenda tuisheni J,mosi na sh 500?
3) Wanafunzi watapata muda wa kupumzika saa ngapi(siku ipi?)ili hali kuanzia jumatatu hadi ijumaa wanaondoka asubuhi sana na kurudi jioni kabisa wakiwa hoi(ba siku hizi za masomo wanakuwa wameunganisha na tuisheni j,tatu -ijumaa).
N:B Muelewa wazazi hatupingi swala la tuisheni kwa wanafunzi tatizo linakuja suala hili linapokuwa ni LAZIMA na mtoto asipokuja anachapwa hasa ikizingatiwa ni siku ya jumamosi ya watoto wadogo hawa kupata muda wa kupumzika.
Niamini...assignment niliyonayo ni kuwasemea wasioweza kusema...ninaposema tutakiwasilisha sio lazima mimi niwe ni mhusika/mzazi.Ni kitu Mungu ameweka ndani yangu kwa kuzaliwa kuwasemea wengine.Nina majirani zangu ni wahanga wa hili nimeumia kwa nini mtoto wa darasa la tatu achapwe fimbo kwa kutokwenda shule jumamosi tena tuition?Ila mwanzo ulisema wanao wako sekondariš¤£š¤£š¤£
Basi sawa, mkakiwashe.
Unadhani huyo mwl Mkuu anafanya tuu hivo bila makubaliano na wazaziMwalimu Mkuu mshitakini kwa Waziri wa Elimu, atafukuzwa kazi mara moja, sbb Jmosi sio siku ya shule, hakuna analazimishwa kwenda shule Jmosi, hilo halipo, na Mkuu wa Shule ndio wa kuanza nae, atimuliwe, tena Mh. Rais akisikia watoto wadogo wanalazimishwa kulipa tuition na kwenda shule Jmosi huyo Mkuu wa Shule atashtakiwa, tena pelekeni malalamiko haya Wizara ya Elimu haraka sana itakuwa funzo kwa Shule zingine.
Jmosi sio siku ya Shule, labda darasa la 7 au Form 4 wale wana malizia shule wapange ratiba na mwalimu wao wamalizie masomo Jmosi ili wajiandae na Mtohani wa kumaliza shule..!!
Narudia, Jmosi au Jpili sio siku za kwenda shuleni, Wizara na Serikali ya CCM, chini ya Mama yetu, Rais wetu inajua hivyo, anayepanga kinyume na hapo najua atashughulikiwa haraka, hasa huyo Mkuu wa Shule ya Goba.
Wanao wanasoma wapi bwana!!Wacha ubishi wewe walimu wa Tanzania ni wapumbavu hakuna kitu ni ushuzi wa bata
Oooh kumbe!! Bado nafikiria kosa ni wazazi wako, lako au jamii yako?? Bado sijapata majibu. Hebu niambie, ni wapi walikukosea katika kukulea?Walimu
Wapumbavu kama wewe ni wakuchapa ngumi tu ..ni hasara kubwa sana kufundishwaxna mtu mpumbavu
Sasa kama ndio hivyo ndugu msemaji, kwanini usiende shuleni ukapate upande wa pili wa hilo lalamiko then uwasemee vizuri.Niamini...assignment niliyonayo ni kuwasemea wasioweza kusema...ninaposema tutakiwasilisha sio lazima mimi niwe ni mhusika/mzazi.Ni kitu Mungu ameweka ndani yangu kwa kuzaliwa kuwasemea wengine.Nina majirani zangu ni wahanga wa hili nimeumia kwa nini mtoto wa darasa la tatu achapwe fimbo kwa kutokwenda shule jumamosi tena tuition?
Hawa wazazi sio majasiri wa kuwaambia walimu ukweli pale wanapokosea na next meeting ya wazazi ni mpaka Dec ni mbali.