Walimu shule ya msingi Goba Mpakani hamtendi haki

Oooh kumbe!! Bado nafikiria kosa ni wazazi wako, lako au jamii yako?? Bado sijapata majibu. Hebu niambie, ni wapi walikukosea katika kukulea?
Mimi siyo yale matoto mapumbavu yanayo sema bora unitukanie mama yangu kuliko baba yangu ...nitumie akili.kwa kuwa ninayo .
 
Kisa mia tano au kuna mengine ?
Hapa ni jana tu katoto ka kike darasa la kwanza ameniambia aliwakuta watoto wa kike wawili wa darasa la kwanza wenzie mmoja kalala chini mwingine anamlamba kwenye kidudu chake.

Hivi hawa watoto hizo tabia wanazipata wapi?

Acheni tu
 
Na bado tupo nyuma tena
Yani wanaongeza shida baadala ya kuondoa shida
 
Ujinga aa waalimu wanashindwa kutambua maisha ya mwanafunzi
Na vp kuhus wale ambao wapo mbal na wazaz au analelewa na bibi unakuta hela ni ngumu au mazingira yasiyokuwa mazuri

Mwl yeye ni kuchapa tu
 
Na hapo mzaz hapo anapata muda mchache wakukaa na watoto
Muda mwingi mtoto anakuwa Shuleni
 
Kisa sio mia tano...shida kwa nini mtoto wa darasa la tatu achapwe fimbo kwa kutokwenda shule siku ya jumamosi.(Tuition)?,hata ingekuwa hawaambiwi waende na hiyo mia 5 kwamba ni buree bado sio haki kwa mtoto wa darasa la 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…