Walimu sikilizeni wimbo huu

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
Kufundisha nimfundishe mie, mtihani nimpe mie, misifa apate yeye!!! Utoro afanye yeye sifuri apate yeye, lawama nipewe mie!!! Mibangi avute yeye, nidhamu akose yeye BIG RESULT NOW nifanye mie!!! MAJANGAAA! MAJANGAAA! ONA MAJANGAAA ! ONA MAJANGAAA. ONE Tuzitoe sie wataalamu tuwafundishe sie, mishahara mikubwa wapate wao!!! MAJANGAA! MAJANGAA! ONA MAJANGAA! ONA MAJANGAA!! Jumapili njema mwalimu
 
Kwa kuwa Rais wetu ni muungwana, nafikiri ni wakati muafaka wa kuandaa tuzo kwa ajili ya msaniii aliyetunga wimbo huu....tehe tehe tehe!
 
Hongera sana mtoa mada hivi kama kuna njia yoyote ya kuwacliana na raic embu mtumie haka ka chorus aburudike
 

Aya bana ticha...mistari utunge wewe,kuimba uimbe wewe,kukosoa tukosoe sisi...leo sio jumapili::::joke:::
 
Hongera sana mtoa mada hivi kama kuna njia yoyote ya kuwacliana na raic embu mtumie haka ka chorus aburudike

raisi alivyo mcharuko ataishia kukata mauno bila hata kusikiliza ujumbe uliopo kwenye nyimbo husika.
 
  • Wasiliana na snura, atoe version maalumu kwa walimu ya wimbo wake majanga. Hali mbaya kwa walimu.
 
Last edited by a moderator:

Yote yanawezekana Tanzania. Hebu inyake hii. Huko Mwanza, Shule ya Sekondari Nsumba mwanafunzi akitaka kuhamia shule hiyo lazima aende na mifuko saba ya saruji (cement). Bado, hebu subiri, saruji hiyo lazima inunuliwe kutoka duka ambalo limeteuliwa na uongozi wa shule hiyo. Ukipeleka saruji uliyonunua kutoka maduka mengine imekula kwako, haipokelewi. Pia usafiri wa kuipeleka saruji shuleni hapo unatolewa na shule. Kivipi, sikiliza; Shule ina gari binafsi ndilo huyo mwanafunzi mpeleka saruji lazima alikodi pia, vinginevyo saruji hiyo haipokelewi. Kama ndoto vile!!! Majanga, majanga!!!
 
KUFAULU NIFAULU MIE,JKT NILETWE MIE,KIPARA NINYOLEWE MIE...,KUROLY NIROLY MIE,KU CRAWL NI CRAWL MIE,SALUT UPGE WEWE,KWATA NIRUKE MIE,PTSHORT NIVAE MIMI ,MAGWANDA UVAE WEWE..majanga ,majanga ona majanga
 
Tumeona slogan ngapi hii iwe ya kwanza bwana? Huo ni upepo tu nao utapita kama MKUKUTA, MKURABITA nk...
 
Nafikiri wanaohusika wamelichukua kama lilivyo na watalifanyia kazi. Hayo ni maonezi makubwa kuwahi kutokea TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…