Amesema lin ayo mkuu
Dah watupange tuu
serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi na TAMISEM imesitisha zoezi la kuajiri walimu wapya kwa mwaka 2015.hayo yamethibitishwa na waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi,mh shukuru kawambwa,alipokuwa akitoa ufafanuzi wa swali alilouliza mbuge wa Bahi,mh omari baduel,aliyetaka kujua ni lini serikali itaajiri walimu,maana ameskia kuwa mwaka 2015 serikali haitoajiri walimu.mh kawambwa aliongeza kwa kusema kuwa mahitaji ya walimu kwa sasa ni machache ukilinganisha na miaka kadhaa iliyopita.bunge litaendelea na majadiliano kesho kwa kupitia bajeti ya wizara ya nishati na madini

wanapanga kuanzia mwezi huu, mwezi wa pili kabla ya tar 28, ajira zitakuwa tayari kutangazwa.
by Kayoka said:Serikali kupitia naibu waziri wa kilimo Bw. Godfrey Zambi imesema kuwa kwa sasa walimu waliopo wanatosha na haina mpango wa kuajiri walimu wapya kwa mkupuo ifikapo mwaka 2015 ila itaajiri tu walimu wachache kuziba nafasi za walimu waliokufa, kustaafu au kufukuzwa kazi.
source: Star tv habar