Walimu tufanye ivi kukomesha dhalau

Joined
Mar 4, 2013
Posts
93
Reaction score
9
Ilikuwa mwaka 2010 wakati wa campaign za kikwete,akasema walimu ni..............! sa ivi vanaosoma kozi zisizo za ualimu wanaona wao ndo walifaulu mitihani ya kidato cha 4 na 6! na hawajui kuwa wataenda kubebelea baasha wakiwa wanatafuta kaz! sa walimu tufanye ivi kwasasa tuna mtaji walau wa kuanzisha kakibanda katakako2fanya 2savave!!! tuache ualimu walau kwa mwaka mmoja tuone hao wanaojidai kama watatokea tena!!!!!!!!!!!! au walim mnasemaje
 
Yaani kama wewe ni mwalimu sishangai tena kwa nini watoto 260,000 wamepata division 5.

Unaweza kuniambia DHALAU maana yake nini? What a foolish way of talking, eti sa ivi. Kichefuchefu!
 
f
futa huu uzi wako kabla haujawekwa madoa,umechemka
 
Hli nalo linajiita mwalimu?
 
Wewe unadharaulisha waalimu bana!
 
Jamani nani anaweza kumkumbusha mtoa thread zile Ethics za Mwalimu
 

SA IVI
BAASHA
2SAVAVE
Kama ndio jinsi unavyo wafundisha wanafunzi bac waliopata 0 pia mliwasababishia ninyi kazi acha wewe unae(dhalaulika) acha wenzio wafanye kazi
 
Anayekudanganya uache kazi mwambie akupe aliyonayo yy ..sie husema hivi ''yombeka mpango takutelao mganda'' tke it mkuu.
 
Yaan ktk wa 2 ma bogas bac ww ni nmba 1!ctak kuzan wala kuamin kma ww ni mwalim au sio mwalim usie jua kuandika hta ujumbe mdogo kma huu!tafadhali jamani tuwasamehe wa2 kma hawa ambao hawajui nn walitendalo!
 

mwanzoni nilidhania Wizara "imeingiilwa kinyume...." kutokana na "madudu" ya Bw. KaWa Mbwa na Ndg. yetu wa Visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe = Tz, ila kwa mfumo wa uandishi huu, napiga magoti na kuomba SAMAHANI SANA KWA TAIFA LANGU LA TANZANIA NA WANANCHI WAKE kwa lawama na matusi niliyonena kwa wasio na HATIA.
 

sitasita kushangazwa zaidi kama hatokua Nshomile kutokana na ID name yake ilivyo maana sikuhizi wameanza kuuza hadi mayai ya reja reja barabarani. WAPI MKUU WA WILAYA, PIGA FIMBO HIZI "KANDAMBILI"
 

wewe ulipata daraja la tano ukatumia cheti cha mwenzako aliyefaulu kusomea ualimu! hili halina ubishi kwa utumbo uliouandika hapa!
 

Sijakuelewa unachotaka kukisema
 
Hli nalo linajiita mwalimu?

unategemea nini wakati alipata four ya point 29 then akaenda certificate chuo cha ualimu.hapo changanya na umri coz wengi siku hizi wanamaliza sekondari wako below 17.lugha tu inakuonyesha ndio yupo kwenye rika la kubalehe!!!!ndio walimu wa watoto wetu hao.
 

kwa taalifa yako nina dvn one ya point 7 PCM na nimesoma katika chuo kikuu cha sokoine(SUA) Bsce(INFORMATICS AND MATHEMATICS) sa ivi ni mwalimu wa shule kubwa inayozalisha dvn 1 kila mwaka usione term hii serikali imetufanyia udwanzi
 
wewe ulipata daraja la tano ukatumia cheti cha mwenzako aliyefaulu kusomea ualimu! hili halina ubishi kwa utumbo uliouandika hapa!
Nikikuonesha vyeti vyangu utajidharau na utaona hujasoma hata kama sa izi uko unakimbizana na baasha ooooh!
 
nilijua tu watu tuna tofautiana uelewa kuna wanao elewa haraka na wengine ni vigumu kuwaelewesha nadhani utakuwa miongoni mwa wagumu kuelewa!
 
Hebu ngoja kwanza, we ni mwalimu wa shule gani?

Isije ikawa binti yangu anasoma shule unayofundisha..... itakula kwangu mazima. Nifanye mpango wa kumhamisha mapeeeema kabla hajaambukizwa sumu yako.

Kama we ndo mwalimu wa awamu hii, heri yetu tuliosoma enzi za Nyerere (RIP). Dammmmmmmmmmmnnnnnnnnnnn!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…