Walimu Tuje waraka huu una ukweli?

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
wasaaalamu wakuuu...
nimepata taarifa zisizo rasmi katika likizo hii kuwa kuanzia January mwaka 2015 wakuu Wa shule wote ambao hawana degree wanatakiwa watolewe wawekwe wenye degree je kuna ukweli Wa hili?
 
wahi shule dogo diploma haina dili sa hivi, hiyo utarudishwa primary. Hata ukuu wa shule tutaangalia wenye masters kwanza, wakiisha ndo tunawapa wenye..... hako kamoja.
 
Nilio uona mimi ni waraka wa posho ya madaraka Tsh. 300,000 kwa kila mwezi kwa wakuu wa shule, waratibu elimu nk
 
Nilio uona mimi ni waraka wa posho ya madaraka Tsh. 300,000 kwa kila mwezi kwa wakuu wa shule, waratibu elimu nk

acha uongo wewe, mkutano Wa dar Wa wakuu ulikuepo? na ulikua lini?
 
wahi shule dogo diploma haina dili sa hivi, hiyo utarudishwa primary. Hata ukuu wa shule tutaangalia wenye masters kwanza, wakiisha ndo tunawapa wenye..... hako kamoja.

ungejua usingeandika haya....
 
acha uongo wewe, mkutano Wa dar Wa wakuu ulikuepo? na ulikua lini?

Aache uongo gani mkuu?Yeye ameuona huo wa posho ambao pia unaelekeza teuzi zijazo zizingatie hizo sifa!,,,,,,,,,,hilo la kuachia madaraka hata mimi kuna REO mmoja alinidokeza sasa sijui kama ni tetesi ama kuna waraka wake.Ngoja tusubiri wajuzi watufafanulie zaidi
 
Sifa za "msingi" za uongozi wa elimu:
1. Msingi- Diploma
2. Sek. - Bachelor
3. Chuo Ualimu- Masters

Taasisi mojawapo inayoongozwa na asiye na sifa hizo ni ama UTEUZI wake ulifanywa kukiwa na upungufu wa wenye sifa stahiki kitaaluma ama sifa ya uzoefu wa angalau miaka mitatu kikazi...

Kadhalika, ni mara chache kutengua uteuzi wa mtu...kinachofanyika ni kumpa muda mteule huyu kujiendeleza kitaaluma ili afikie kiwango stahiki, muda huo ukipita ni rahisi kutengua kwa kuwa muhusika alishindwa kukidhi haja ya mwajiri wake...

Kuanzia Julai 2014, kuna waraka unaelekeza kuhusu posho:

HT(dip.holder) -200,000/=
HoS(b/masters)-250,000/=
MEK(b/masters)-250,000/=
Principle -300,000/=*
DSEO & DEO -300,000/=

Tanbihi:
1) Kiongozi wa taasisi asiye na sifa hizo za kitaaluma hatapata posho hiyo mpaka atakapofikia kiwango husika cha taaluma- Kwa mujibu wa waraka...

2) Kwa mfumo wetu wa elimu Tz...Kiwango cha juu kinachotambuliwa kwa ngazi ya msingi na sekondari (O&A Levels) ni BACHELOR DEGREE...!! MASTERS ni ADDED QUALIFICATION

Hivyo, panapotokea uwingi wa wenye sifa ya msingi, sifa ya ziada inatafutwa ili kuongoza taasisi-Kwa mujibu wa uelewa na uzoefu wangu katika taasisi za serikali...

Nawasilisha taarifa ya awali

Tafakari...
 
Ninarekebisha kidogo...WARAKA elekezi wa viwango vya posho utaanza kutumika JULAI 2015 na SIYO JULAI 2014...
Samahani kwa usumbufu...
 
Baada ya miaka minne ijayo diploma watakua walinzi na walimu ni wale wenye master's only
 
Naona posho wangepewa hata kwa walimu wa kawaida maana mshaara ni mdogo. Mbona maaskari wote wa majeshi ya ulinzi na usalama wanapewa posho? Kwa nini serikali ishindwe kuwapa walimu posho.
 
ahsante mkuu...
 
wasaaalamu wakuuu...
nimepata taarifa zisizo rasmi katika likizo hii kuwa kuanzia January mwaka 2015 wakuu Wa shule wote ambao hawana degree wanatakiwa watolewe wawekwe wenye degree je kuna ukweli Wa hili?

Hebu jaribu kuchunguza hiyo bangi unayovuta inatoka wapi,maana kuna ile ya Malawi huwa sio nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…