Walimu tuna hali ngumu

Walimu tuna hali ngumu

Huu mjadala wa walimu umepamba moto ukihisha utafwata wa watendaji wa vijiji sasa
 
Naoana watu wengi hawafahamu maisha halisi ya walimu zaidi ya porojo za kwenye mitandao. Niwape siri walimu ni moja ya watumishi wanaoishi maisha ya furaha sana. Kudai nyongeza ya mishahara sio kwamba wanamaisha duni.
 
Back
Top Bottom