Waalimu wetu ni wanafiki wakubwa, kipindi cha chaguzi wanatumika kama daraja la politicians, kwangu Sina hata chembe ya huruma nao,ni waongo wakubwa wache wachapike
Naoana watu wengi hawafahamu maisha halisi ya walimu zaidi ya porojo za kwenye mitandao. Niwape siri walimu ni moja ya watumishi wanaoishi maisha ya furaha sana. Kudai nyongeza ya mishahara sio kwamba wanamaisha duni.