Walimu tunaosubiri ajira...

Walimu tunaosubiri ajira...

MUFINDI BOY

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
241
Reaction score
59
ni wazi kuwa mh. majaliwa alidanganya, rais naye kimya na huenda mh. rais anajua walimu washaajiliwa kwasababu hii nchi mawasiliano baina ya viongozi ni majanga. ila tutambue kama mwaka juzi post zilitoka jan 14, mwaka jana feb 14 basi mwaka huu ni march 14... tusibweteke na hawa walaghai tupige kaz
 
mambo mazuri hayataki haraka.

Walimu tuwe na subira.
 
Tumewachoka hawa watanzania, wamezidisha sana siasa hadi kwenye masuala nyeti kama haya ya elimu, afya, maji, umeme na mengineyo!
 
Nadhani JK atatoa tamko kesho kwenye sherehe za chama.
 
Tutamkoma mCcM! kAwaMbWa bado mzigo,ilitakiwa aondolewe pamoja na rafkyake mU Lugo!
 
Unajua tunapata shida kutangaza ajira, kwa sababu tuna upungufu mkubwa wa walimu wa sayansi na hisabati, lakini tukiangalia hawa waliohitimu ni walimu wa masomo yasio na uhitaji sana wa walimu. Hata ungekuwa wewe ungefanyeje..??
 
Nadhani JK atatoa tamko kesho kwenye sherehe za chama.
Labda kuwepo mtu wa kumkumbusha, inawezekana anajua Waalimu wamekwishajiriwa, si mmnajua hakuna mawasiliano ya kueleweka ndani ya serikali, pia anaweza kuwa ameshau. Anashughulika na mambo mengi, na mazito.
 
you are educated to be job creators not job seekers-MJIAJIRI
 
Msihofu jamani jana nimepewa taarifa kuwa wapo kwenye process za kudistribute posho wilayani, xo najua soon kitaeleweka.

Source: Siri yangu.
 
tz kwa namna hii tutafka kwel MawaZiri mzigo wako wap? Kaz kubeBana tu due to uccm!
 
ni wazi kuwa mh. majaliwa alidanganya, rais naye kimya na huenda mh. rais anajua walimu washaajiliwa kwasababu hii nchi mawasiliano baina ya viongozi ni majanga. ila tutambue kama mwaka juzi post zilitoka jan 14, mwaka jana feb 14 basi mwaka huu ni march 14... tusibweteke na hawa walaghai tupige kaz

Mwaka juzi kwa mwezi uko sawa ila hyo tarehe una uhakika nayo !?, au umeandika tu !
 
Back
Top Bottom