MUFINDI BOY
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 241
- 59
Labda kuwepo mtu wa kumkumbusha, inawezekana anajua Waalimu wamekwishajiriwa, si mmnajua hakuna mawasiliano ya kueleweka ndani ya serikali, pia anaweza kuwa ameshau. Anashughulika na mambo mengi, na mazito.Nadhani JK atatoa tamko kesho kwenye sherehe za chama.
Utajuajiri vp coz yenyewe ualimu
ni wazi kuwa mh. majaliwa alidanganya, rais naye kimya na huenda mh. rais anajua walimu washaajiliwa kwasababu hii nchi mawasiliano baina ya viongozi ni majanga. ila tutambue kama mwaka juzi post zilitoka jan 14, mwaka jana feb 14 basi mwaka huu ni march 14... tusibweteke na hawa walaghai tupige kaz
you are educated to be job creators not job seekers-mjiajiri