Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Kama rais alikua na hukumu ya kesi tangu jana ina maana yy yuko juu ya sheria coz yale yaliyoamuliwa leo jana alishasema mf kurudi kazini na kufidia muda uliopotezwa, notisi kucheleweshwa nk hivi anategemea walimu wawe na moyo wa kufundisha kweli? Mwalimu na mwanajukwaa unategemea nini kama reaction ya hukumu hii?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ndio maana sitaki kufanya kazi serikalini full ujinga ujinga kama vp walimu sepeni tu ajira private xul zipo nyingi achaneni na kubwa jinga!
YAANI Sa hivi wataisoma namba! Nikiingia vipindi double class nafundisha dk 15 tu hizo nyingine napiga porojo na ole wake mwanafunzi aniulize swali! Atajuta. Ila navionea huruma vianafunzi vyangu vya form maana tulipoishia ndo hapo hapo siendelei wala nini, na notice siwapi watafelije? Ila itakuwa funzo kwa wazazi wao siku nyingine wavote wisely, sio wana chagua viongozi wasio wathamini. MUHIMU WALIMU KWA NAMNA YEYOTE ILE TUJITAHIDI KUWASAIDIA WATOTO WA WALIMU WENZETU NA TUJARIBU KUWAIDENTIFY MASHULENI ILI TUWASAIDIE KIELIMU!
wewe sio mwalimu bali ni MCHONGANISHI kweli! kama ni hivi, sasa tz ifikie wakati kila profession iamue unachokiamua wewe kulinda watoto! hatutafika mana tutabaki palepale tunanyanyasana wenyewe tu but govt wao wanapeta! mfano madokta nao wakaamua kuwa wanatibia vzr watoto wao wawenzao wanawatibia ovyo ili wafe au kupata vilema, na watu washughuli nyingine pia wamue kutokana na shughului zao kama dereva, nk.! wewe kama kweli prof yako ni mwalimu sidhani kama huu ni uwamuzi sahihi!
Mimi ni professional teacher Dip Monduli TTC Geography & Mathematics nilimaliza MWEZI aw Sita nkaanza kazi Mwezi wa 9 same year Loksale Sec School, mwaka uliofuata MWEZI wa tisa nikajiunga chuo kikuu Iringa Bed in Mathematics nikamaliza July 2010, February nkaajiriwa tena kituo kingine coz ajira yangu Loksale ilifutwa, Sasa nafundisha Shule moja kongwe hapa Arusha Manispaa una la zaidi? "Zimwi likujualo halikuli likakwisha" msaada kwa mwanafunzi hadi niwe nakujua vinginevyo mfate JK,KAAMBWA,NA HAO MAJAJI labda watawasaidia
YAANI Sa hivi wataisoma namba! Nikiingia vipindi double class nafundisha dk 15 tu hizo nyingine napiga porojo na ole wake mwanafunzi aniulize swali! Atajuta. Ila navionea huruma vianafunzi vyangu vya form maana tulipoishia ndo hapo hapo siendelei wala nini, na notice siwapi watafelije? Ila itakuwa funzo kwa wazazi wao siku nyingine wavote wisely, sio wana chagua viongozi wasio wathamini. MUHIMU WALIMU KWA NAMNA YEYOTE ILE TUJITAHIDI KUWASAIDIA WATOTO WA WALIMU WENZETU NA TUJARIBU KUWAIDENTIFY MASHULENI ILI TUWASAIDIE KIELIMU!
kweli ndo mana walimu mnadharaulika! kama elimu yenyewe ndo imekufikisha hapa! poor teacher! kale vumbi.