Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
kama kuna wakati serikali yetu imelikoroga basi ni sasa, na kama hawaamini basi wasubiri, watoto hawatafundishwa, lakini ubaya wa serikali unatakiwa kusambazwa popote Tanzania ili iwe rahisi kuiondoa serikali dhalimu isiyojali watu wake. Tuungane kama tulivyoungana ili kieleweke.
umeongea pumba!! nadhan mawazo yako haya mantiki..angalia unachoongea kabla ya kuropoka....kumbuka hawa ndo walio kufundisha mpaka hapo ulipo!!!kweli ndo mana walimu mnadharaulika! kama elimu yenyewe ndo imekufikisha hapa! poor teacher! kale vumbi.
umeongea pumba!! nadhan mawazo yako haya mantiki..angalia unachoongea kabla ya kuropoka....kumbuka hawa ndo walio kufundisha mpaka hapo ulipo!!!
aise una ujumbe mzuri lakin uko too emotional!!! usitumie feelings ktk kureact kwan hiyo si busara.. A WISE MAN IS ALWAYS CONTROLLED BY HIS INTELECT..NOT FEELINGS BRO!!! hpe u understud!!!wewe ndo umeongea uchafu! na umekurupuka! we unajua tumeanzaje kujibizana na huyo jamaa mpaka nikafikia statement hiyo uliyo i comment wewe! kumbe na wewe mgonjwa wa akili! iyo statement sijaitoa tu from no where ni kutokana na majibizano na huyo mwalimu nikagundua hana akili kama wewe! ndo mana nikamwambia ivo! kama na wewe ni mwalimu basi inznizidishia kujua kwa nini walimu mnadharaulika mbwiga wewe! ukiona statement ya mtu sikunyingine ikwa ime quote usikurupuke tu kuijaji kabla hujajua mtiririko wake! kibwaya wewe! kale vumbi na wewe.