Walimu tusaidieni

Walimu tusaidieni

fered mbataa

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
240
Reaction score
35
hivi kweli tunaweza pata mwalimu bora zaidi ya mwingine? Vigezo vipi vatatumika tumpate au huu ni usanii?, je hatuwezi thamini mchango wao wote na tuwalipe posho ya thamani ya mchango wao katika jamii?
 
Wewe ni nani? Na hayo majibu utayapeleka wapi? Ningependa kujua nguvu yako ya utetezi kwa Waalimu. Serikali yenyewe imesusa na Waalimu wapo kwenye mgomo baridi tangu zamani, Chama cha Waalimu kimeshindwa majukumu yake.
 
Nadhani mdau fered mbataa ameuliza kutokana na matangazo yanayoendelea kwenye vyombo vya habari kuhusu tuzo za mwalimu bora wa mwaka, hilo ni brainstorming question akitaka kufahamu kwa kiundani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom