walimu Tz kimyaaaaa

walimu Tz kimyaaaaa

gedo

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
314
Reaction score
53
walimu Tz bwana sijui wanajichukuliaje?nadhani ndio maana hata jamii inawadharau sana,nakuamini nikazi yawalio feli!walipiga piaga kelele oooh!tutaonana mwz wa7,huu sasa unaisha hakuna lolote wala chochote serikali imewasikiliza,tena imewaongezea zigo la big results now!swali je mbona kimyaa?au mnamsubiri mnafiki mukoba awasemee?mbona mwz7 wenyewe ndio huu hamlopoki kitu?nimeyasema haya sbbu mlitujazia jukwaa kwavitisho oooh srkl itaona mwz7 kumbe nyumbu tu......hakika ignorance governs knowledge sometimes like 2 tz teachers!
 
Inaonekana unapenda migomo ya kijinga think twice acha utoto
 
Last edited by a moderator:
ukiona kimya ujue mambo safi na wanarizika na walichoongezewa! Na kuhusu big result now nikutoe hof kuwa si mzigo kwa vile KUFUNDISHA NI KITU KINGINE NA KUFAULU KWA MWANAFUNZI NI KITU KINGINE HIVYO HAVIHUSIANI na hata katika barua zao za ajir wameambiwa watafanya kazi ya kufundisha na kazi zingine watakazopangiwa na mkuu wa shule.hakuna kipengele kinachosema mwalimu afundishe ili wanafunz wafaulu.Unauchungu sana na maslah ya walimu?
 
Ha ha haaaa busara ndo somo lisilofundishwa popote!!!!!!

Hukufuatilia bunge???? Umewahi kisikia actions speak louder than words!!!!???

Umewahi kuona serikali ikirekebisha matokeo ya shule wakati waliofundisha wamekunja nne!!!!!

Mtu akikuambia atachoma nyumba uwe makini aweza kukuelekeza huko kumbe nia ni kuteka mwanao!!!!!
Ama kweli kichwa sio cha kufugia nywele tu!!!!
 
mi ninacho chukia walimu watz nikukopana kopana!utasikia niazime hata elfu15,siwengine kero bhana ndio maana nimeona niwape ukweli,ukija uchaguzi wakipewa vinafasi vyakusimamia navikofia wanaisifiaa srkl,badae wakipewa vimishahara vyao mbuzi wanakuja kutulilia sisi wengine!tumechoka komaeni na srkl yenu bhana!
 
Inaonekana unapenda migomo ya kijinga think twice acha utoto

nani kakuambia napenda migomo!nachopenda nikuona hii kada yawalio feli(public image) inajikomboa kiupande wamishara naposho kama nyingine.....wanaishi maisha magumu sana ww hujakutana nao wanvyokopa kwahuruma!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa busara ndo somo lisilofundishwa popote!!!!!!

Hukufuatilia bunge???? Umewahi kisikia actions speak louder than words!!!!???

Umewahi kuona serikali ikirekebisha matokeo ya shule wakati waliofundisha wamekunja nne!!!!!

Mtu akikuambia atachoma nyumba uwe makini aweza kukuelekeza huko kumbe nia ni kuteka mwanao!!!!!
Ama kweli kichwa sio cha kufugia nywele tu!!!!

mkuu acha nichekeee! Kumbe kichwa c cha kufugia nywele? haaaahaaaaahaaaa!
 
Unajidai unakopesha ww umekuwa saccos? Kama umemkopesha rafiki yako ni kivyenu. Usiwahusishe kada nzima ya walimu. Tunawaheshimu na hakuna idara muhimu kam hii eti wamefeli je unavyeti vyao? Acha umbea lete mada tujadili. Umenikera kuna watu wana point 3, 4, ..... Chuo kikuu wanasoma education. Fanya utafiti kabla ya kusema. "No research no right to talk."
 
Huyu dogo kamaliza form six mwaka huu anasubiria kwenda chuo kama GT usibishane nae.
 
Poa nimekupata Molembe .
Ila ajifunze kuja na evidence maana kuandika tu haina mantiki labda kama anajifunza mwandiko.
 
Last edited by a moderator:
Unajidai unakopesha ww umekuwa saccos? Kama umemkopesha rafiki yako ni kivyenu. Usiwahusishe kada nzima ya walimu. Tunawaheshimu na hakuna idara muhimu kam hii eti wamefeli je unavyeti vyao? Acha umbea lete mada tujadili. Umenikera kuna watu wana point 3, 4, ..... Chuo kikuu wanasoma education. Fanya utafiti kabla ya kusema. "No research no right to talk."

aisee ww hii ndio research yako iliyokupa kifua kusema?hongera,ila ukweli utabaki palepale walimu wanataabika!
 
Poa nimekupata Molembe .
Ila ajifunze kuja na evidence maana kuandika tu haina mantiki labda kama anajifunza mwandiko.

do you know types of evidence?just to mention a few are personal/individual,public,environmental e.t.c!so in this case i'm personally an evidence!tatizo elimu zaku unga unga ndio hili,sometimes silence justifies wisdom!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom