Inaonekana unapenda migomo ya kijinga think twice acha utoto
Ha ha haaaa busara ndo somo lisilofundishwa popote!!!!!!
Hukufuatilia bunge???? Umewahi kisikia actions speak louder than words!!!!???
Umewahi kuona serikali ikirekebisha matokeo ya shule wakati waliofundisha wamekunja nne!!!!!
Mtu akikuambia atachoma nyumba uwe makini aweza kukuelekeza huko kumbe nia ni kuteka mwanao!!!!!
Ama kweli kichwa sio cha kufugia nywele tu!!!!
Unajidai unakopesha ww umekuwa saccos? Kama umemkopesha rafiki yako ni kivyenu. Usiwahusishe kada nzima ya walimu. Tunawaheshimu na hakuna idara muhimu kam hii eti wamefeli je unavyeti vyao? Acha umbea lete mada tujadili. Umenikera kuna watu wana point 3, 4, ..... Chuo kikuu wanasoma education. Fanya utafiti kabla ya kusema. "No research no right to talk."
Huyu dogo kamaliza form six mwaka huu anasubiria kwenda chuo kama GT usibishane nae.
Poa nimekupata Molembe .
Ila ajifunze kuja na evidence maana kuandika tu haina mantiki labda kama anajifunza mwandiko.