Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Walimu wanakimbizana na kupigana maofisini kwenye mgao wa vishikwambi vya sensa nakuanza kulialia kuwa wanaonewa. This is bullshit yani serikali hii inawaona walimu kama primitive generation ndio maana kwenye shughuli ndogondogo na vimgao vya hovyo wanapewa wao ila sio big agenda kama maposho wanayopewa polisi na wanajeshi
Hivi kama kweli serikali inajali walimu mbona inawaonea Kwa kuwapa mishahara kiduchu nakuwafanya ni toleo la zamani kamwe haliwezi kuwa jipya. Walimu changamkeni acheni ushamba.
Hivi kama kweli serikali inajali walimu mbona inawaonea Kwa kuwapa mishahara kiduchu nakuwafanya ni toleo la zamani kamwe haliwezi kuwa jipya. Walimu changamkeni acheni ushamba.