Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Nawashauri tuBado umekomaa na waalimu aisee
Hayana faida Kwa walimu, allowance ndokila kituJana nilikuwa kwenye ofisi za Halmashauri ya Chamwino naambiwa wilaya ya Chamwino ndiyo inaongoza kwa kugawa kibaguzi vishikwambi yaani ule mtindo wa MUPE HUYU,MULUKE HUYU Sasa kama Ili linatokea hapahapa jikoni uko pembezoni inakuwaje!!!?
[emoji120][emoji120][emoji120]Ila kuna watu wanachukia walimu sasa wanamkumbusha mpwayungu village chakupost
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unatumia dhiki na umasikini wa walimu kama faida kwakoSisi wengine tunasubiria wamalize kwanza kuvigawa, ili baadaye tuje sasa kuvinunua kwa bei nafuu kutoka kwa 'wadau'