Walimu wa Diploma mbona hawajaolozeshwa katika ajira?

daveposta

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
52
Reaction score
8
Nashangaa kuona walimu wa Digrii peke yao ndio walioolozesha mpaka mda huu navyoingia jamvini inamaana hawaajiriwi au ndio wanaweka?
 
Au wanachakachua majina manake tz ni n0uma kila k2 pesa, usikute wanafanya biashara mda huu. PUMB....FU ZAO!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…