Usihamasishe chuki ndugu yangu! Ikizingatiwa wadogo zetu wanasoma bila hata ya kuwa na walimu. Kumfelisha mtu kielimu ni kama kumuua, kuna rafiki yangu alifelishwa prac ya kemia, japo alifaulu, lakini mpaka kesho anamhukumu mwalimu wake.
AMANI IWE NASI!