Walimu wa masomo ya sayansi jitathimini

ELIMU BORA =MASLAHI MAZURI YA WAALIMU+MAZINGIRA MAZURI YAKUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA+VITENDEA KAZI VYA KUJIFUNZIA NA KUFUNDISHIA+SERA MZURI YA ELIMU ISIYOFUNGAMANA NA SIASA+WAZAZI KUTIMIZA MAJUKUMU YAO KWA WATOTO.Hakika elimu ni cycle yenye process tatu INPUT+PROCESSING +OUTPUT,Hivyo utakavyowekeza vizuri katika elimu ndivyo utaprocess kitu raw kua pure na matokeo yake lazima yawe chanya tu iwe kwa jua ama mvua,tatizo kubwa la nchi yetu waalimu kutokana na uwing wao selikali inaona Kam mzigo kuboresha maslahi yao lakin jibu litabak pale pale hata ujenge shule za ghorofa alafu mwalim abaki kua duni tegemea matokeo duni,mwalimu aliyesirias na kumpa mtoto wake elim bora yuko radhi auze figo ili ampleke mwanae shule mzuri na sio hizi shule za kata ambazo yeye anafundisha
 
Physics
Chemistry
Biology
Mathematics

Sio makalio kwamba kila mtu anayo.

Wanafunzi wana fail wenyewe kwa uzembe wao.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
ungeandika kwa herufi kubwa asome vizuri
 
Fundisheni watoto hizi hoja zenu zinafanya muwe wazembe na kufail ioneka e kawaida
Sijakataa, ila kwa kiasi kikubwa inachangiwa na wanafunzi husika kutokuwa makini au ari kwa masomo ya sayansi, na unajua sayansi haitaki mbambamba imenyooka km rulaaa, ukileta blah blah inakuangusha dkk 0 tyuuh.

Hata mie nimesoma na naongea ninachokijua na nilikipitia pia.
 
Boraa usemee wee, wanafunzi wako buzzy kudanga, kuvuta sigara, kubet, kutazama mpira, kucheza PS, mda wa kusolve chem na phys hanaa, maths ndo kabisaa hawagusi tena wanakuambia "maths husomi wala husolve inakuja automatically " afu utegemee wafaulu?

Hapo hapo vifaa wezeshi vya masomo husika hakuna, maabara zenyewee zinageukaa majengo ya maonesho.

Hakuna walimu nawaonea huruma km wa sayansi hasa shule za serikali, wanapitia magumu mnooo. Mungu awape subra na hekima kwa kweli. Mweeeeh.
 
23.3% shocked 😲 most of US!!

They did what they planned?

it's better to congratulate all teachers for their efforts 😝😝😝
 
Wewe ndio UNAZINGUA UTAKUWA ni daktari labda usimforce MTOTO afaulu masomo ya science uwe baba mpole je badaye akiwa wakili mashuhuri Hadi ishu za mikataba mikubwa uyo mwanao ANAWEZA arts comment zako hazina mashiko
 
Msiwalaumu walimu TATIZO LA WATANZANIA WENGI ANATAKA KAMA YEYE PROFESSIONAL FULANI BASI MTOTO LAZIMA AFAULU.MASOMO FULANI NYIE MNAITWA WAZAZI PRIMITIVE MTAWA AFFECT WATOTO WENU KISAAKOLOJIA KWAIYO ENGLISH KAFAULU KEMIA BIOLGIA KAFELI HAYAWEZI MUWEZESHE KUTOKANA NA UFAULU WAKE
 
Wanafunzi wakifaulu hamsemi walimu wanafundisha vizuri, mnasema wanafunzi wana akili ila wakifeli sasa utasikia walimu hawafundishi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
View attachment 2471877ukisema wazazi hawapeki kwenye bure ebu niambie shule kama hii wenye uelewa anajua mda ule elimu si bure idadi ya watoto ilikuwa ampaka mia saba sasa elimu bure angali hiyo ni META SEC ipo mbeya shule kongwe na marufu nchi hii
Angalau Sangu Sec wanajikokota, shule ya Meta ilianza kuporomoka mwaka 2015 kwenye matokeo ya Kidato cha Sita. Labda wapatikane walimu kama Land
 
Angalau Sangu Sec wanajikokota, shule ya Meta ilianza kuporomoka mwaka 2015 kwenye matokeo ya Kidato cha Sita. Labda wapatikane walimu kama Land
Marefu Yana ncha meta ya wanafunzi mia tano Leo hii hata wanafunzi mia haifikishi
 
Hao walimu unaowalaumu wapo? Isije kuwa hiyo shule Haina walimu au Ina upungufu mkubwa wa walimu wa Sayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…