MEGAMIND2055
Senior Member
- Jan 7, 2020
- 176
- 101
Ungeweka na Education Background yako/yenu kwa wale wahitaji waweze kupima ubora wenu.Hi Guys! Poleni kwa majukumu ya siku, kwa taasisi au yeyote anae itaji waalimu (with outstanding performance and competent in) PHYSICS,BIOLOGY ,CHEMISTRY and GEOGRAPHY we are competent enough to teach O-LEVEL to A-LEVEL as well as diploma level .
Mawasiliano +255767936477.... we are available 24/7
Ungeweka na Education Background yako/yenu kwa wale wahitaji waweze kupima ubora wenu.
Hili tatizo ni kubwa hapa nchini, kuna wengi wana vigezo ila hawajui kujieleza. Wewe unatafuta kazi, unaishia kusema tuko vizuri tu, hiyo ndiyo sifa gani? Weka picha za vyeti/ academictranscripts, weka CV, umefanya wapi kazi na kwa nini ulitoka, kama bado hujafanya kazi sema ukweli nk.kwa ujumla wote tuna bagroung nzuri katka masomo haya from ordinary to university level and we all have upper second class with B+ and above ktk masomo tajwa
we are fresh graduate but we have enough experience.Hili tatizo ni kubwa hapa nchini, kuna wengi wana vigezo ila hawajui kujieleza. Wewe unatafuta kazi, unaishia kusema tuko vizuri tu, hiyo ndiyo sifa gani? Weka picha za vyeti/ academictranscripts, weka CV, umefanya wapi kazi na kwa nini ulitoka, kama bado hujafanya kazi sema ukweli nk.
Course gani mmesomeaHA
we are fresh graduate but we have enough experience.
bachelor of science with educationCourse gani mmesomea
Sasa mnawezaje kufundisha masomo yote hapo juu pamoja na kufundisha elimu ya diploma, ingali bado ni fresh graduates?!na
kama k
Bachelor of science with education
kwa ujumla wote tuna bagroung nzuri katka masomo haya from ordinary to university level and we all have upper second class with B+ and above ktk masomo tajwa
Write your reply...nan kakwambia gpa kubwa ndo kujua kufundisha acha ufala kaka kufundisha ni kipaj cio gpa
Write your reply...nan kakwambia gpa kubwa ndo kujua kufundisha acha ufala kaka kufundisha ni kipaj cio gpa
Haya maua seminary huku moshi wanahtaji mwalimu Wa physics A level uzoefu 2 yes
Kama upo njema sema nkupe namba ya rector upambane
Sent using Jamii Forums mobile app
well thank you, je anataka mwalimu mwenye uwezo au anataka mwalimu mwenye experience? kama anataka mwalimu mwenye uwezo and competent ambae atajuta kumpata, na mwenye ufaulu mzuri katika level zote... your all well come
Rekebisha Sentensi yako;
Kama anataka mwalimu mwenye uwezo and competent 'ambae atajuta kumpata..' inabadilisha kabisa maana unayokusudia na Inatia mashaka ubora wa Ualimu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo na uzoefu vyote ni muhimu huwezi kuniambia unauwezo wakati huna uzoefuwell thank you, je anataka mwalimu mwenye uwezo au anataka mwalimu mwenye experience? kama anataka mwalimu mwenye uwezo and competent ambae atajuta kumpata, na mwenye ufaulu mzuri katika level zote... your all well come