Walimu wa masomo ya ziada nyumbani

Hujasema uliko,hujaweka mawasiliano na hujaweka malipo.Sa itakuwaje?
Achana nae tapeli huyo mkuu
Aliye seriazi lazima aweke tangazo lilio kamili
Mkoa alipo,wilaya n.k analenga wanfunzi wa level gani n.k na anafundisha masomo yapi pia bei n.k
Sasa yeye anatupia namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…